قالب وردپرس افزونه وردپرس قالب فروشگاهی وردپرس قالب وردپرس قالب صحیفه

Submit

Pia unaweza kutuma kupitia submit@gospeltunestz.com

 

Muhimu zaidi

Team ya Gospel Tunes hupitia kila nyimbo kwa makini kwa kuhakiki mashairi, Vocal na ubora wa nyimbo. Baada ya hapo team huamua kama nyimbo inaweza au haiwezi kuingizwa Gospel Tunes kulingana na viwango tulivyojiwekea. Kama nyimbo yako itakataliwa haimaanishi wewe sio mwanamuziki bora, lakini tumeona kwamba kazi yako inahitaji kuongezwa ubora zaidi ili kupata nafasi Gospel Tunes. Unaweza kujaribu mara nyingine.