قالب وردپرس افزونه وردپرس قالب فروشگاهی وردپرس قالب وردپرس قالب صحیفه
Imani Victor

Imani Victor

BIO
Imani alizaliwa mwaka 1995 katika hospital ya Agha Khan Jijini Mwanza.  Alianza kuimba akiwa na umri mdogo na kupiga gitaa la galaton kanisani kwao. Alianza rasimi huduma yake katika Kanisa la Calvary lililopo Nyasaka jijini Mwanza mnamo mwaka 2013.

Baadae mwaka 2014 Imani alihamia Kanisa la Tanzania Assembles Of God (TAG) Ustawi Mwanza hapo ndipo akaimarika na kuwa kiongozi wa kusifu na kuabudu na mwalimu.
Tarehe 16/3/2017 Imani alitoa nyimbo yake ya kwanza yenye jina la Unijaze.

Mawasiliano

Whatsapp: +255 757 886 756
E-mail: imanivictor@gmail.com

Music