قالب وردپرس افزونه وردپرس قالب فروشگاهی وردپرس قالب وردپرس قالب صحیفه
Angel Benard

Angel Benard

Angel amezaliwa tarehe 29/06/1989, akiwa kama mtoto wa tatu katika familia ya watoto sita..Alfred, Consolatha, yeye, Elizabeth,Anjawe na Lufunyo. Ameanza kuimba akiwa na umri wa miaka 6 ktk kanisa la roman catholic-tabata magengeni..akiwa mshirika wa kwaya kuu.
Mwaka 2015 Angel aliolewa na Bwana Godsave Sakavu ambaye pia ni mwanamuziki wa Injili.

Music